Home » » PAMOJA NA MVUA WANANCHI WA RUANGWA WAJITOKEZA KUMSIKILIZA WAZIRI MKUU (MB) KASSIM MAJALIWA

PAMOJA NA MVUA WANANCHI WA RUANGWA WAJITOKEZA KUMSIKILIZA WAZIRI MKUU (MB) KASSIM MAJALIWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa kwa ziara ya kikazi
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa kwa ziara ya kikazi . 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa akisalimiana na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa kwa ziara ya kikazi.
 Wananchi wa kijiji cha Nga’u kilichopo wilaya ya Ruangwa wakiwa wamejikinga  mvua kwakutumia viti wakati wakimsikiliza mbungewao Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akiwahutubia kwa ajili yakuhimiza shughuli za maendeleo jimboni Ruangwa Mkoani Lindi.Picha na Chris Mfinanga

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa