
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mtama, Mhe. Anderson Msumba, anawahamasisha wananchi wote wa kata ya Namupa;kijiji cha Mnamba na wananchi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Mtama kwa ujumla kujitokeza kwa wingi na na kushiriki kikamilifu katika kuadhimisha siku ya upandaji miti ngazi ya wilaya ambayo yanaadhimishwa leo siku ya tarehe 20/03/2025.
0 comments:
Post a Comment