Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Lindi Godfrey 
Zambi mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa ajili ya
 ziara ya kikazi katika wilaya ya Ruangwa Mkoani lindi kushoto ni 
mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi  Alli Mohamed Mtopa
 Waziri
 Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi wa Nachingwea (DED) 
Bakari Mohamedi Bakari katika kiwanja cha ndege cha Nachingwea wakati wa
 mapokezi ya waziri mkuu wilayani hapo waziri mkuu amefika kwa ziara ya 
kikazi katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi 
Waziri
 mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mery Majaliwa wakifurahia ngoma ya kikosi
 cha JKT  843KJ kilichopo Nachingwea ambacho kilikuwepo katika mapokezi 
ya Waziri Mkuu katika uwanja wa ndege wa Nachingwea .Picha na Chris 
Mfinanga
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment