Wafanyabiashara
wa manispaa ya Lindi wakiwasili katika Mahakama ya Mwanzo ya mjini
hapa, kusikiliza shitaka la mmoja wa Wafanyabiasha alioletewa samansi ya
mahakama hiyo majira ya saa 2:00asubuhi leo 5/11/2013
Mahakama ya Mwanzo ya Mjini Lindi ambayo ilitoa hati ya wito wa mahakama kwa mmoja wa wafanyabiashara kuja kujibu shitaka
Baadhi ya Wananchi wakiendelea kupata Huduma hafifu katika soko kuu Mjini Lindi kufuatia mgomo wa Wafanyabiashara wa Mji huu.Mandhari
ya Mji Leo asubuhi ukionekana hivi ukiwa hauna pilika pilika za watu
kufuatia mgomo wa wafanyabiashara, Maduka na Masoko na Stationary zote
zimefungwa hakuna huduma inayotolewa na wafanyabiashara wako katika
Mahakama Ya mwanzo kujua hatma ya Mfanyabiashara mwenzao pamoja na Mambo
mengine wanayo yalalamikia kuhusiana na Kodi mbalimbali
Chanzo: Lindi yetu
0 comments:
Post a Comment