Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akisalimiana na wafanyakazi wa mradi wa bomba la gesi huko Kilwa.Katibu
Mkuu wa Nishati na Madini Eliakim Maswi alifanya ziara kwenye mradi wa
bomba la gesi katika mikoa ya Lindi na Mtwara mwishoni mwa wiki. Mtaalamu
mwelekezi kutoka katika kampuni ya Worley Parsons, Pieter Erasmus
akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na M adini,
Eliakim Maswi jinsi uunganishaji wa bomba la gesi unavyofanyika. Wafanyakazi wakiendelea na kazi ya uchomeaji wa bomba la gesi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na
waandishi wa habari juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi
ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake.
0 comments:
Post a Comment