Mkuu
wa Mkoa wa Lindi Bw.Ludovick Mwananzila (katikati) akizungumza
na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (kushoto)
pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara Bw. Absalom Bohela wakati wa
sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya Ujenzi wa kiwanda cha
Sementi cha MEIS mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
mkuu wa kiwanda cha Sementi cha MEIS. Merey Balhabou (kushoto)
akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Lindi Bw. Ludovick Mwananzila
pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili ya
mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha Sementi mkoani Lindi mitambo hiyo
imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini China.
Meli iliyobeba mitambo hiyo ikiishusha kwenye Bandari ya Mtwara.
Malori yakiwa kwenye foleni ya kupakia Mitambo hiyo.
(Picha na Chris Mfinanga).
0 comments:
Post a Comment