Msimamizi
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Lindi Fortunata Raymond akitoa mada wakati wa
mafunzo ya maboresho ya mafao yatolewayo na NHIF sambamba na mabadiliko ya usajili
wa wanachama yaliyotekelezwa hivi karibuni,kwenye bwalo la maafisa wa Polisi
Lindi.
Washiriki wa mafunzo hayo ambao ni askari wa jeshi la Magereza Mkoa wa Lindi wakimisikiliza mtoa mada hayupo pichani.
Fotunata Raymond
msimamizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Lindi akifafanua jambo mbele ya maofisa askari wanachama wa mfuko kutoka Jeshi la Magereza mkoani humo hawapo
pichani,kwenye bwalo la maafisa hao jana.kulia kwake ni afisa udhibiti ubora wa
NHIF Dr.Beatrice Mwakipiesile,kushoto ni Naibu na Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Lindi SSP Zephania.
Kaimu
na Naibu mkuu wa Magereza Mkoani Lindi SSP Zephania akitoa tathimini ya umuhimu wa elimu iliyowasilishwa
kwa watumishi askari magereza waliopo mkoani humo.
PICHA NA FATHER KIDEVU BLOG
0 comments:
Post a Comment