Home » » Klabu Ya Waandishi Lindi Yapata Mafunzo Kuhusu CHF

Klabu Ya Waandishi Lindi Yapata Mafunzo Kuhusu CHF


 MWAKILISHI WA NHIF MKOA WA LINDI FORTUNATA RAYMOND AKITOA MADA KWENYE MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA LINDI KUHUSU DHANA NA UMUHIMU WA MIFUKO YA AFYA YA JAMII UNAORATIBIWA NA NHIF.
 MWANDISHI WA HABARI KUTOKA RADIO NACHINGWEA SAID MUUNGUNJA AKICHANGIA WAKATI WA MAFUNZO.
 WASHIRIKI WAKICHUKUA DONDOO MUHIMU.

KATIBU WA KLABU YA WAANDISHI IBRAHIMU UTEGERE AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA UCHANGIAJI.
 Na.Paul Marenga -NHIF lindi

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa