Home » » Watu 6 Wahofiwa kufa wilayani Ruangwa baada ya kufunikwa na kifusI mgodini

Watu 6 Wahofiwa kufa wilayani Ruangwa baada ya kufunikwa na kifusI mgodini 
 Watu 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi.

Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea kufanywa katika hali ya ugumu kutokana na Ukosefu wa zana/vifaa vya kuokolea.

Hadi muda huu Kufuatia harakati hizo ni Maiti Moja tu ndio imeweza kupatika..... 

Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa