Home » » Mkuu wa Wilaya ya Liwale afariki!!!!

Mkuu wa Wilaya ya Liwale afariki!!!!Marehemu Paul Chiwile wa kwanza kushoto
Na mwandishi - Chinga one blog

Tumepata  habari za masikitiko na huzuni kutokana na kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Liwale - PAUL CHIWILE  kilichotokea ndani ya chumba cha Hotel ya Vision Mjini Lindi, inasemekena Marehemu aliwasili mjini Lindi jana ila sijafahamishwa kama alikuja kikazi au safari binafsi , pia nimefahamishwa kuwa  RPC, RC na askari wengine walikuwepo eneo la tukio wakati mlango ukivunja ili wapate kutoa mwili wa Marehemu.

Habari zaidi tutaendelea kuwajulisha 


 "Bwana alitwaa na Bwana ametoa"
Habari kwa hisani ya Chinga one Blog

1 comments:

miro said...

poleni sana wananch wa liwale na kwa familia ya mkuu huyo wa wilaya.INALILLAHI WAINA ILAHI RAJ GHUUUN

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa