Home » » Mh. Barwany atoa msaada wa mafuta ya kulinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua kwa albino

Mh. Barwany atoa msaada wa mafuta ya kulinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua kwa albino



Mbunge wa Lindi Mjini Salum Barwany akimkabidhi sabuni muuguzi wa Hospitali ya Ocean Road Rose Ngowi kwa ajili ya kulinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua kwa ajili ya walemavu wa ngozi(albino)wakati alipoenda kutoa msaada huo katika hospitali ya Ocean Road.
Mbunge wa Lindi Mjini Salum Barwany akimkabidhi mafuta (lotion) Agneta Malawale kwa ajili ya kulinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua wakati alipoenda kutoa msaada huo katika hospitali ya Taasisi ya kansa Ocean Road.
Habari kwa Hisani ya Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa