Mkuu
 wa Kitengocha uhusino na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na 
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika 
(katikati) akigawa baadhi ya vifaa vya uhamasishaji kwa wadau 
waliotembelea banda la SSRA katika maonesho ya sherehe za Wakulima 
katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi jana. Maadhimisho ya sikukuu 
hiyo, yatafanyika Agost 8, 2016.
Bi.
 Sarah Kibonde Msika (kulia) na Bw. Mathayo Mihayo (Kushoto) wakitoa 
maelezo mbalimbali ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi waliotembelea banda 
la SSRA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi katika maonesho ya Nane 
nane.
Wananchi
 mbalimbali wakipata maelezo ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa 
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii 
(SSRA) katika maonesho ya Nane nane.
Wananchi
 mbalimbali wakipata maelezo ya Sekta ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa 
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii 
(SSRA) katika maonesho ya Nane nane mjini Lindi jana.
Mkulima
 akipokea vipeperushi na maelezo toka kwa Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi 
na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. David Mathayo 
katika maonesho ya wakulima Nane nane mkoani Lindi jana.
Afisa
 Uhusiano na Uhamasishaji Bi. Agnes Lubuva akitoa malezo na vipeperushi 
kwa wageni waliotembelea banda la SSRA katika Viwanja vya Ngongo mkoani 
Lindi wakati wa maonesho ya Wakulima jana.
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment