Mkuu
 wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi akimkaribisha Mke wa Rais wa Jamhuri
 ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani huko kwa 
ajili ya Ziara ya kikazi katika mikoa ya kusini.
Mke
 wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke 
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli 
alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.Katikati ni Mkuu wa 
Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi na Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
Mke
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli 
akisalimiana na kinamama waliojitokea kumpokea alipowasili Mkoani Lindi 
kwa ajili ya Ziara ya kikazi.
Mkuu
 wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi akimshukuru Mke wa Rais wa Jamhuri 
ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli kwa kuamua kufanya ziara ya
 kikazi mkoani humo.
Mke
 wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiongea kwa niaba 
ya kina mama waliojitokeza kumpokea Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ambapo alimuahidi kuendelea kumuunga 
mkono kwenye shughuli zake na kumtaka kwenda mkoni humo mara kwa mara 
kwa ajili ya ziara za kikazi.Katikati mwenye pochi ya bluu ni Mke wa 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
Mke
 wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi 
ya Ungo Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth 
Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi. Katikati 
ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary 
Majaliwa
Mke
 wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi 
ya Kitenge Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth 
Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.
Mke
 wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akimkabidhi zawadi 
ya Kitenge Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama 
Mary Majaliwa.
Mke
 wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiwakabidhi zawadi 
ya mbuzi Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth 
Magufuli (kushoto) na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Mama Mary Majaliwa (katikati).
Mke
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli 
akiwashukuru kinamama na baadhi ya viongozi waliokuja kumpokea alipofika
 mkoani Lindi.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment