Meneja
 wa Bima ya Afya Mkoa wa Lindi akitoa elimu ya mpango mpya na wa gharama
 nafuu utakaomuwezesha mzazi kumlipia bima ya Afya mtoto chini ya miaka 
18 unaojulikana TOTO AFYA KADI,kwenye kliniki ya mama na mtoto (RCH) 
Hospitali ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
Kaimu
 mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Liwale akitoa rai kwa akina mama 
walioudhuria kliniki kwa kuchangamkia fursa kwani ni mpango wenye 
manufaa zaidi na una uwigo wa mafao kwa 50,400 tu.
Akina
 mama wakifuatilia elimu ya kitita cha mafao yanayotolewa kwenye mpango 
wa Toto afya kadi kutoka kwa meneja wa NHIF Lindi hayupo pichani.
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment