Home » » GARI YA WIZI YAKAMATWA NACHINGWEA MKOANI LINDI

GARI YA WIZI YAKAMATWA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Gari aina ya NOAH Namba T378 BYH rangi nyeupe imekamatwa huko nachingwe mkoani lindi. Baada ya uchunguzi polisi wamebaini kuwa rangi ya awali ya gari hiyo ni TRIM na mmiliki wake halali ni ABDALA MOHAMED MCHONDA P.O.BOX 1370 DAR ES SALAAM. Namba original za gari ni T 223 CUX. Yeyote mwenye taarifa ya kupotea gari yenye maelezo hayo awasialiane na Polisi Nachingwea kupitia RTO LINDI [0658 376074].Imeandaliwa na RSA na Dj Sek0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa