Home » » MAKAMU WA RAIS AIPA TUZO VETA KWA KUIBUKA WASHINDI WA KWANZA NANE NANE KITAIFA‏

MAKAMU WA RAIS AIPA TUZO VETA KWA KUIBUKA WASHINDI WA KWANZA NANE NANE KITAIFA‏

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharibu Bilali akikabidhi tuzo ya Ushindi wa kwanza Kitaifa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuibuka washindi wa jumla katika Kundi la Taasisi za Utafiti na Mafunzo. Anaepokea ni Mkurugenzi Masoko, Mipango na Maendeleo,  wa VETA - Tanzania, Enock Kibendera
Wafanyakazi na wanafunzi wa VETA wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuibuka washindi kitaifa hii leo katika siku kuu ya Nane Nane iliyofanyika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa