Home »
» BASI LA FB LAPATA JALI LAJERUHI 42
BASI LA FB LAPATA JALI LAJERUHI 42
Watu 42 wamejeruhiwa,21 kati yao wakiwa na hali mbaya,baada ya basi la kampuni ya SB lililokuwa linatokea Mtwara kwenda Dar es salaam kupata ajali eneo la Mchinga-Lindi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
dj sek blog
0 comments:
Post a Comment