Home » » Diamond atua Lindi na mkesha wa mwaka mpya ndani ya Nangwanda Stadium Mtwara

Diamond atua Lindi na mkesha wa mwaka mpya ndani ya Nangwanda Stadium Mtwara


Na Abdulaziz Video, Lindi
Tamasha kubwa la kuchangia watoto yatima wa mkoa wa lindi kufanyika leo saa 8 mchana hadi 5 usiku katika uwanja wa ilulu likitumbuizwa na msanii maarufu,Tanzania na Afrika Diamond Platinum Chini ya udhamini wa Mhe.  Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Mtama, Lindi,  kwa kushirikiana Uratibu na  Abdulaziz video Recording(lindi yetu blog)

Kiingilio Ni Tsh 5000 kwa kila mmoja.Usikose nafasi hii Adimu...
Tarehe 31 mkesha wa mwaka mpya atakuwa Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda kwa Udhamini Wa NAF BEACH Hotel na Makonde Pure Drinking Water.
Pichani Diamond akiwa Mtwara na Shahid Murji baada ya Mapokezi Airport Mtwara 

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa