Home » » Mama Kikwete awataka wazazi mkoani Lindi kusimamia elimu ya watoto wao

Mama Kikwete awataka wazazi mkoani Lindi kusimamia elimu ya watoto wao


Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), kutoka Lindi, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi Ndugu Ali Mtopa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013.
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete, akivishwa skafu mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 24.11.2013.
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM kutoka Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Jangwani lililoko katika Kata ya Chikonji huko Lindi terehe 24.11.2013.
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisononeka baada ya kubaini kuwa watoto wengi wanaoonekana katika picha kutoka Kijiji cha Jangwani wamekatisha masomo yao. Mama Salma alikwenda kijijini hapo kuongea na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi hilo tarehe 24.11.2013 PICHA NA JOHN LUKUWI.

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa