Gari walilokuwa wakisafiria Wadau hao likiwa limepinduka huku huzuni ikitawala katika eneo hilo.
Mwandishi wa Habari
wa Gazeti la Mwananchi,Mwanja Ibadi pamoja na
Diwani wa kata ya Kikole,Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa,Mkoani
Lindi,Haji Mulike wamenusurika kupoteza maisha katika ajali
waliyoipata,wakiwa njiani kuelekea Wilayani Nachingwea,kwa shughuli za
kikazi.Katika ajali
hiyo mtu mmoja alipata majeraha Madogo.
Picha na Abdullaziz Video
0 comments:
Post a Comment