Home » » WANASIASA WAPIGWA STOP KUINGILIA MAAMUZI YA VYAMA VYA USHIRIKA NA KUHUJUMU MFUMO WA STAKABADHI GHALANI MKOANI LINDI,,,,AGIZO LA RC LINDI

WANASIASA WAPIGWA STOP KUINGILIA MAAMUZI YA VYAMA VYA USHIRIKA NA KUHUJUMU MFUMO WA STAKABADHI GHALANI MKOANI LINDI,,,,AGIZO LA RC LINDI



Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananzila akifunguaMkutano mkuu wa 18 wa chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Lindiunaofanyika Wilayani Liwale hii leo.



Maafisa Ushirika wa wilaya za mkoa wa Lindi naowakiwa katika mkutano Mkuu


Wanachama wa chama kikuu cha Ushirika wakisilizahotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi katika Mkutano mkuu wa 18


Na Abdulaziz Video Liwale

Wanachama wakihudhuria mkutano mkuuMkuu wa mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananzila amewataka viongozi wa vyamavya siasa kuacha kuingilia utekelezaji wa shughuli za maendeleo ikiwapamoja kukataa bei nzuri zinazoletwa na wanunuzi kuhusiana na mauzo yamazao ikiwa pamoja na kushawishi wanajamii kukataa kuuza mazao yao kwavyama vya msingi huku wengine wakiwa na maslahi yao kwa kuwanyonyawakulima ili wasipate bei ya juuAidha akisoma taarifa katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa chama kikuu chaushirika mkoa wa Lindi.Kilian Kapamba aliwataka wanachama wa chamahicho kubaini mapungufu yaliyojitokeza katika ununuzi wa zao la Ufutamsimu uliopita ikiwa pamoja na bei kuwa kubwa Wakulima waliibiwakutokana na vipimio visivyothibitisha na kuwapunja wakulima,Vyama vyamsingi na ushirika kukosa mapato,Kutopatikana na takwimu sahihi yauzalishaji na kufuatia hali hizo aliiomba serikali itilie mkazo mfumowa stakabadhi ghalani kufuatia mafanikio makubwa yanayopatikanatofauti na soko huriapicha na habari toka kwa mdau


0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa