Serikali ya Japan imetoa Jumla ya dola za kimarekani 243,698 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa mabweni 4 kwa shule za sekondari za Nkowe wilayani Ruangwa Na Shule ya kutwa ya Wasichana wilayani Nachingwea Hatua hiyo imekuja katika jitihada za Nchi ya Japan kukuza Ushirikiano na Tanzania Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada leo amelala wilayani Ruangwa Mkoani Lindi ambapo kesho atatembelea shule ya sekondari NKOWE na Baadae kuelekea Wilayani Nachingwea.
Picha na Habari toka kwa Mdau Abdulaziz video rec
Picha na Habari toka kwa Mdau Abdulaziz video rec
0 comments:
Post a Comment