 
  Viongozi wa band ya shule wakiongoza wenzao kuingia madarasani huku wakipita kwa ukakamavu mbele ya ofisi ya mwalimu mkuu.
 
  Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Magereza wilayani Liwale wakiwa kwenye  gwaride la kuingia madarasani baada ya chakula cha mchana.Shule hii  imepeleka wanafunzi wote sekondari (ufauru ni asilimia 100).
 







 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment