Home » » Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya shemeji yake mjini Lindi leo

Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya shemeji yake mjini Lindi leoRais Jakaya Mrisho Kikwete leo Julai 30, 2012 amehudhuria mazishi ya shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi (45),  aliyefariki
Jumamosi iliyopita jijini Dar es salaam, na kuzikwa katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi.
Rais Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya shemeji
yake, Marehemu Amani Kinyozi, katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi leo
Julai 30, 2012

PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa