Home » » DC NACHINGWEA AKUTANA NA MAKUNDI MBALIMBALI KUHIMIZA MAENDELEO WILAYANI HUMO

DC NACHINGWEA AKUTANA NA MAKUNDI MBALIMBALI KUHIMIZA MAENDELEO WILAYANI HUMO


MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA MKOANI LINDI,BI REGINA CHONJO AKIONGEA NA MAKUNDI MBALIMBALI YA WANANCHI WA NACHINGWEA KATIKA UKUMBI WA TTC MJINI HUMO.
BAADA YA MKUTANO ALIPATA FURSA YA KUPIGA PICHA YA PAMOJA NA AKINA MAMA.
Wazee na vijana waliojitokeza kumsikiliza Mkuu wa wilaya hiyo Na wao kupata fursa ya kubadilishana mawazo ili kuleta maendeleo wilayani humo.

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa