Home » » Moto wachoma nyumba na vibanda vya biashara Lindi

Moto wachoma nyumba na vibanda vya biashara Lindi

 Fundi kutoka kikosi cha dharura cha Tanesco akikata ukeke katika nguzo kuthibiti madhara zaidi , baada ya  Nyumba moja iliyopo Manispaa ya Lindi jirani na stand kuu ya mabasi kuteketea kwa moto. Picha hizi zinaonyesha wananchi wakishangaa pasipo kuokoa mali zozote kutokana na moto huo ambao umeteketeza banda moja la fundi Kompyuta, Photo Studio, Saloon ya kunyoa nywele, Banda la kushonea nguo la fundi Mkenda na makazi ya watu. Moto huo ulianza kuwa majira ya saa 8 mchana. Picha na mdau Elvan Limwangu
Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa