Home » » WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI MHE. DK.CHARLES TIZEBA ASISITIZA MATUMIZI YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA MANUFAA YA KILIMO NCHINI

WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI MHE. DK.CHARLES TIZEBA ASISITIZA MATUMIZI YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA MANUFAA YA KILIMO NCHINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Mhe. Dkt. Tizeba akisisitiza umuhimu wa taarifa za hali ya hewa kwa wakulima alipotembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), anayezungumza nae ni Mkurugenzi wa utafiti na matumizi ya taarifa za hali ya hewa Dkt. Ladislaus Chang'a
 Mkurugenzi wa utafiti na matumizi ya taarifa za hali ya hewa Dkt. Ladislaus Chang'a akitoa maelezo ya umuhimu wa matumizi sahihi ya taarifa za hali ya hewa kwa waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi
  Baadhi ya wageni mbalimbali wanaoendelea kutembelea banda ili upata elimu juu ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa na jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Mhe. Dkt Tizeba akiteta jambo na Mkurugenzi wa utafiti na matumizi ya taarifa za hali ya hewa Dkt. Ladislaus Chang'a na Meneja wa Kanda ya Kusini  wa TMA Bw. Amas Daudi

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa