Home » » NAPE AWAJIBIKA KWA WANANCHI WAKE

NAPE AWAJIBIKA KWA WANANCHI WAKE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa Milamba kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
 Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mulogo/ Mnazi Mmoja na kuwataka wanakijiji hao kushirikiana ili kufanikisha maendeleo katika kijiji hicho.
  Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wazee wa kijiji cha wa Milamba mara baada  ya kumaliza kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa ya mambo ya kimaendeleo ambayo ameshaanza kuyafanyia kazi.
 
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja ya wakazi wa kijiji cha Malugo / Mnazi Mmoja ambao walichangia mbao 60 kila mmoja kufanikisha ujenzi wa madawati.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wakazi wa kijiji cha Malugo/ Mnazi mmoja ambapo aliwataka wananchi hao kuendelea kushikamana ili kufanikisha maendeleo zaidi katika jimbo hilo.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiondoka kwenye eneo la mkutano huku akiongozana na wenyeji wake mara baada ya kumaliza mkutano.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wakazi wa kijiji cha Nambahu.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisisitiza jambo kwenye mkutano na wana kijiji cha Nambahu.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wakazi wa kijiji cha Chiuta ambapo alichukua nafasi hiyo kuwashukuru kwa kumchagua lakini pia alitoa taarifa za kazi alizoanza kufanya katika kuhakikisha kijiji hicho kinapata maendeleo ya haraka.
 Wakazi wa Chiuta jimbo la Mtama wakiangalia vitabu ambavyo walikabidhiwa na Mbunge wao Mhe.Nape Nnauye kwa ajili ya Sekondari ya Chiuta.
 Umati wa wakazi wa Chiuta wakimsikiliza  Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
  Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na kijana wa kijiji cha
Chiuta mara baada ya kumaliza kuongea na wakazi wa kijiji chicho.
  Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na vijana wa kijiji cha
Chiuta jimbo la Mtama .
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akicheza pool table  na vijana wa kijiji cha
Chiuta jimbo la Mtama 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

0 comments:

Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa