Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ujenzi wa zahanati ya kijiji cha
Nandagala wilayani Ruangwa ambao unafanywa kwa ufadhili wa kampuni ya
HUAWEI ya China , kijijini hapo, Februari 28, 2016. Kulia kwake ni Mkuu
wa Mkoa wa Lindi, Jordan Lugimbana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni tisa kutoka
kwa Mtalaam wa Ufundi wa Kampuni ya simu ya Halotel wa mkoa wa Lindi,
Tran The Hoang ili ziweze kugharimia malipo ya kadi za bima ya Afya kwa
baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa. Alikuwa
katika ziara ya siku moja wilayani humo Februari 29, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ma Mwanaidi Mussa na Mkussa Lukoloma
(kushoto) wote wa kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwabaada ya
kuwakabidhi kadi zao za bima ya Afya ambazo zimegharimiwa na Kampuni ya
Simu ya Halotel iliyochangia shilingi milioni tisa kuwawezesha wakazi wa
kijiji hicho kufaidi huduma za Bima ya Afya, Februari 28, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa vyakula na nguo kutoka kwa
Eric Shigongo Mwenyekiti watu waliojitotelea kusaidia waliopatwa na
maafa ya mvua katika kijiji cha Mtondo wilayani Ruangwa wakati Waziri
Mkuu alipokwenda kijijini hapo kuwapa pole wananchi Februari 28, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa vyakula na nguo kutoka
kwa Eric Shigongo Mwenyekiti watu waliojitotelea kusaidia waliopatwa na
maafa ya mvua katika kijiji cha Mtondo wilayani Ruangwa wakati Waziri
Mkuu alipokwenda kijijini hapo kuwapa pole wananchi Februari 28, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa Ruangwa baada ya
kuwasili mjini hapo kwa ziara ya siku moja Februari 28, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa Ruangwa baada ya
kuwasili mjini hapo kwa ziara ya siku moja Februari 28, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment