Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi Patrick Mussa Kamendu akimpa 
taarifa ya hali ya mauzo na masoko na utekelezaji wa miradi ya shirika 
la nyumba la taifa katika mkoa wake kwa Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, 
Pius Tibazarwa alipokuwa katika ziara ya NHC mkoa wa Lindi kufuatilia 
utekelezaji wa miradi hiyo mikoani.
Meneja
 wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi Patrick Mussa Kamendu akiongozana na
 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye mradi wa
 nyumba za gharama nafuu Mtanda Lindi, katika ziara ya NHC mkoa wa Lindi
 kufuatilia utekelezaji wa miradi hiyo mikoani.
 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa akishuhudia jambo katika 
mojawapo ya nyumba za gharama nafuu za Mtanda, Lindi kwenye mradi wa 
nyumba za gharama nafuu Mtanda Lindi.
 Nyumba za gharama nafuu za NHC Mtanda, Lindi linavyoonekana katika picha.
 Nyumba za gharama nafuu za Mtanda, Lindi linavyoonekana katika picha.
Meneja
 wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi Patrick Mussa Kamendu akimweleza 
jambo Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Pius Tibazarwa alipokuwa kwenye 
ziara ya mradi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda Lindi.
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment