Home » » SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC LASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LIND

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC LASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LIND

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

ni7
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja kushoto pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakiwa wakiwa na baadhi ya wateja waliojipatia bima ya maisha ya elimu ya katika banda lao kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Lindi shirika hilo linashiriki katika maonyesho hayo.
ni5
Mkurugenzi wa Bima za Maisha Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja wa tatu kutoka kulia pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakionekana kufurahia jambo pamoja na wateja waliotembelea na kujiunga na bima ya maisha ya elimu katika banda lao
ni2
Muonekana wa banda la Shirika la Bima ya taifa NIC linavyoonekana shirika hilo linashiriki maonyesho ya nanenane yanayoendelea mkoani Lindi
 

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa