Home » » WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE‏

WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.
 Wananchi waliojitokeza katika Shamra Shamra za kumpokea kesho Mheshimiwa Bernard Membe wakati atakapotangaza nia ya Urais 2015.

Mfalme wa Muziki wa taarabu Mzee Yusup akitoa burudani katika shamra shamra hizi.
 Vijana wa Mzee Yusuph wakitoa burudani.
Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Said Mtanda (wa pili toka Kushoto) akicheza na wananchi waliojitokeza katika shamra shamra hizo.
kikundi cha ngoma ya Deda kikitoa burudani ya kijadili katika kudumisha mila.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi  Mzee Alli Mohamedi Mtopa (kushoto) akicheza na baadhi ya wananchi waliofika eneo la tukio.

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa