Home » » AJARI MKOANI LINDI WAWILI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA

AJARI MKOANI LINDI WAWILI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNRctONQtIMg1OZy23t15mhIMk9ASFq-BrcnOodphCPg1SQULajYmqF8gQuVOrJqL-1bQXWA-Rp1skC4oZyclkOVT_8U4peKxKWZYKhQCpUXfdA2H_Lgig3BPGfQxiwnUZoCSaEJZgdBlS/s1600/6c860f6e21505f03e949e445344bc6c8.jpgWatu wawili wamefariki dunia jana baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji cha Ngongo mkoani Lindi  na abiria saba walijeruhiwa.
Majina ya marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja.
 Picha na Abdulaziz Video.

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa