Msululu
wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari yao baada
ya kukwama katika kijiji cha Sinza katikati ya Somanga - Nyamwage mkoani
Lindi, kutokana na barabara wanayoitumia kupatwa na uharibifu mkubwa
uliotokana na mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo
mbali mbali hapa nchini.
Eneo hili
lenye urefu wa kilometa 14,ndio eneo korofi sana kwenye barabara hii kuu
itokayo Mtwara,Lindi mpaka Dar es Salaam.Picha na Mdau Paul
Marenga,Lindi.
Katapila likifanya maarifa ya kufanikisha magari hayo kupita.
Msururu bado ni mkubwa sana.
0 comments:
Post a Comment