Home » » Waziri Membe akagua kazi ya Ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mkoani Lindi

Waziri Membe akagua kazi ya Ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mkoani LindiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (wa pili shoto) akiwa na viongozi wa mkoa wa Lindi na wa kampuni ya Meis Industries inayojenga bonge la kiwanda cha Saruji pamoja na wakandarasi, akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho ambacho kitapokamilika kitakuwa na uwezo wa kuajiri wananchi zaidi ya 7,000.

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa