Home » » DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE NI RAIS MSIKIVU

DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE NI RAIS MSIKIVURais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mlemavu Bwana Mwendo Saidi
katika kijiji cha Mandawa wilaya ya Lindi vijijini leo wakati Rais
aliposimama kwa muda kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho ili kujua
changamoto za kimaendeleo zinazowakabili.Mlemavu huyo alimweleza
Mheshimiwa Rais Kuwa yeye na wenzake wawili wanaomba wapatiwe Bajaji
ili kuanzisha mradi utakaowawezesha kujikimu kimaisha.Mheshimiwa Rais
Kikwete aliridhia ombi hilo na kuahidi kutoa msaada huo mara moja.Rais
Kikwete yupo mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya
maendeleo(picha na Freddy Maro)

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa