Home » » Rais Kikwete azindua mradi wa umeme Liwale

Rais Kikwete azindua mradi wa umeme Liwale


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme wilayani Liwale,mkoani Lindi jana.Kushoto ni Mbunge wa Liwale Bi.Faith Mtambo, Kaimu Mkurugenzi  mtendaji wa TANESCO Injnia Felchesmi Mramba(wapili kushoto) na kulia ni mkuu wa mkoa wa Lindi Bwana Ludovick Mwananzila. 
Picha na Freddy Maro

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa