Haya tena wana Kilwa na Mkoa wa Lindi KAKAKUONA AJITOKEZA NA BAADA  YA KUPANGIWA VITU AKIMBILIA KATIKA COMPRESA YA GESI NA KUIRAMBARAMBA......HUKU  TAYARI WILAYA HIYO IKIWA NA RASLIMALI KUBWA YA
MAENEO YA GESI.
Ikiwa ni siku hiyo hiyo kakakuona mwingine aliripotiwa kuonekana Dar es salaam katika eneo la makongo juu.
Je nini tafsiri yake? usikose kupata mwendelezo wa habari hii....
Picha na Abdulaziz video
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment