Home » » MAMIA WAMPOKEA MBUNGE WA LINDI KUPITIA CHAMA CHA CUF MH. BARWANI AKITOKEA DODOMA,AJIPANGA KUWANIA AWAMU IJAYO.

MAMIA WAMPOKEA MBUNGE WA LINDI KUPITIA CHAMA CHA CUF MH. BARWANI AKITOKEA DODOMA,AJIPANGA KUWANIA AWAMU IJAYO.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mh. Mbunge Barwani Baada ya Mapokezi
 Wakiwa wanateta Jambo
 Mamia ya wakazi wa Lindi wakiwa wanamsikiliza Mbunge wao ambaye anamaliza muda wake sasa na kutia nia ya kuwania kwa awamu ijayo.


Picha na Yacinta wa Lindi yetu Blog(Blogs za Mikoa)

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa