Home » » MKUU WA MKOA WA LINDI AWATAKA WANANCHI WA WILAYA YA KILWA KUJITOKEZA SIKU YA KUHESABIWA

MKUU WA MKOA WA LINDI AWATAKA WANANCHI WA WILAYA YA KILWA KUJITOKEZA SIKU YA KUHESABIWA


MKUU WA MKOA WA LINDI,LUDOVICK MWANANZIRA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KINACHOENDELEA
BAADHI YA MADIWANI WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA WA LINDI KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ''LIVE''
WANANCHI WILAYA YA KILWA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA TAREHE 26 AUG NA PIA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA MAONI YA KATIBA

WITO HUO UMETOLEWA PUNDE NA MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZIRA ALIPOKUWA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
KINACHOENDELEA KATIKA UKUMBI WA JUMBA LA MAENDELEO CHINI YA UENYEKITI WA MHE FARIDA KIKOLEKA-MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA
Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported by Tone multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Lindi Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa